Tuliowahi kuzimia tukutane hapa

Tuliowahi kuzimia tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nilikimbizwa na ng'ombe Nikaenda kudondoka kwenye shimo la urefu wa futi sita nikazimia kuja kuamka nikashtuka nipo hospital.hio ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kuzimia na sikuwahi kuzimia tena.tupe na wewe stori Yako ilikuwaje mpaka ukazimia.
 
Baiskeli baba, last tym nakumbuka tulikwa zaidi ya 80km/hr mteremkoni then dereva akasema ah kumbe ina breki ya mbele tu... Baadae napata fahamu niko kwenye benchi dr aje nlikuwa na miaka 8 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂...Niliwah pata ajali mbaya...Sikuzimia ht kdg...Aliyenipokea ni Dk mhindi..akanipiga xray ya kichwq...akaniambia ushukuru Mungu hujazimia..nikamwambia kwann ..akasema mtu akipata ajali ya kichwa alafu akazimia..mara nyingi hatakuwa sawa tena maishani mwake kote...either uwe mental km mtoa mada au dishi liyumbe tu...leo ndo nimepata jibi kwann ndege john nakuonaga haziktosha😂😂😂😂😂😂
 
siku niliyozimia ndio nilijua kumbe hata ukifa hauwezi kuelewa kinachoendelea, yaani ndio inakua imetoka

Unarudi mavumbini

Nakumbuka siku nimezimia, nilisafiri kutoka morogoro hadi tabora bila kula chochote

Nimefika stend, nikaweka begi mgongoni nikaanza kutembea taratibu, sikujua

Nimefika mbele, mala giza usoni, nikashika mti, hali ikakaa sawa

Nimeenda kama hatua kumi likaja giza la ghafla usoni, sikujua chechote tena hadi niliposhituka namkuta dogo ananipepea huku analia
 
Ha ha ha ha enzi hzo mdogo kama utan utan kuna siku brother angu alinipga roba moja kama nkakata network nakuja.kushtuka sielew elew kilichotokea, na wao walihis nilikua nawaigizia kumbe mwenzao nilikata moto
 
Baiskeli baba, last tym nakumbuka tulikwa zaidi ya 80km/hr mteremkoni then dereva akasema ah kumbe ina breki ya mbele tu... Baadae napata fahamu niko kwenye benchi dr aje nlikuwa na miaka 8 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Same story to me ila ni kwamba nilikuwa nimepakiwa kwenye phonex na mwenzangu nikiwa na 12 yrs old ,sasa jamaa alikimbiza baiskeli speed isiyo ya kawaida nikiwa nimekaa kwenye frem ya mbele kama mnavyojua baiskeli kama haina kito cha nyuma, sasa niikuwa nimevaa boot wakati jama anakata kona kulia migguu ikarudi nyuma ikaingia kwenye spoku tairi ya mbele eee bwana eeehh vumbi lililotimka hapo asee mashuhuda wakielezea unaweza zimia.. nakumbuka nilijikuta nimelala kifudi fudi afu kama giza hv nikainua kichwa af masikioni nasikia zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz nikainua kichwa nikaangalia baiskeli dah tairi la mbele limekutana na la nyuma uma imepinda kugeuka kumwangalia mwenzangu nikajikuta nacheka maana upande mmoja wa usoni vumbi .dah sitasahau ile siku alafu baiskeli yenyewe tumekodiaha nusu saa 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Niliwah pata ajali mbaya...Sikuzimia ht kdg...Aliyenipokea ni Dk mhindi..akanipiga xray ya kichwq...akaniambia ushukuru Mungu hujazimia..nikamwambia kwann ..akasema mtu akipata ajali ya kichwa alafu akazimia..mara nyingi hatakuwa sawa tena maishani mwake kote...either uwe mental km mtoa mada au dishi liyumbe tu...leo ndo nimepata jibi kwann ndege john nakuonaga haziktosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manengelo weweeeee! [emoji2][emoji2][emoji2]una utani mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Niliwah pata ajali mbaya...Sikuzimia ht kdg...Aliyenipokea ni Dk mhindi..akanipiga xray ya kichwq...akaniambia ushukuru Mungu hujazimia..nikamwambia kwann ..akasema mtu akipata ajali ya kichwa alafu akazimia..mara nyingi hatakuwa sawa tena maishani mwake kote...either uwe mental km mtoa mada au dishi liyumbe tu...leo ndo nimepata jibi kwann ndege john nakuonaga haziktosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom