ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilikimbizwa na ng'ombe Nikaenda kudondoka kwenye shimo la urefu wa futi sita nikazimia kuja kuamka nikashtuka nipo hospital.hio ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kuzimia na sikuwahi kuzimia tena.tupe na wewe stori Yako ilikuwaje mpaka ukazimia.