ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hailezeki..Ni Kama kulala TU huwezi ukaelezea Sana unajisikiaje Ukiwa umelalaSijawahi kuzimia tangu nzaliwe...nawaza tu mkizimia huwa mnakuwaje katika hali ile ya kukosa fahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Same story to me ila ni kwamba nilikuwa nimepakiwa kwenye phonex na mwenzangu nikiwa na 12 yrs old ,sasa jamaa alikimbiza baiskeli speed isiyo ya kawaida nikiwa nimekaa kwenye frem ya mbele kama mnavyojua baiskeli kama haina kito cha nyuma, sasa niikuwa nimevaa boot wakati jama anakata kona kulia migguu ikarudi nyuma ikaingia kwenye spoku tairi ya mbele eee bwana eeehh vumbi lililotimka hapo asee mashuhuda wakielezea unaweza zimia.. nakumbuka nilijikuta nimelala kifudi fudi afu kama giza hv nikainua kichwa af masikioni nasikia zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz nikainua kichwa nikaangalia baiskeli dah tairi la mbele limekutana na la nyuma uma imepinda kugeuka kumwangalia mwenzangu nikajikuta nacheka maana upande mmoja wa usoni vumbi .dah sitasahau ile siku alafu baiskeli yenyewe tumekodiaha nusu saa 200Baiskeli baba, last tym nakumbuka tulikwa zaidi ya 80km/hr mteremkoni then dereva akasema ah kumbe ina breki ya mbele tu... Baadae napata fahamu niko kwenye benchi dr aje nlikuwa na miaka 8 hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Manengelo weweeeee! [emoji2][emoji2][emoji2]una utani mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Niliwah pata ajali mbaya...Sikuzimia ht kdg...Aliyenipokea ni Dk mhindi..akanipiga xray ya kichwq...akaniambia ushukuru Mungu hujazimia..nikamwambia kwann ..akasema mtu akipata ajali ya kichwa alafu akazimia..mara nyingi hatakuwa sawa tena maishani mwake kote...either uwe mental km mtoa mada au dishi liyumbe tu...leo ndo nimepata jibi kwann ndege john nakuonaga haziktosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Niliwah pata ajali mbaya...Sikuzimia ht kdg...Aliyenipokea ni Dk mhindi..akanipiga xray ya kichwq...akaniambia ushukuru Mungu hujazimia..nikamwambia kwann ..akasema mtu akipata ajali ya kichwa alafu akazimia..mara nyingi hatakuwa sawa tena maishani mwake kote...either uwe mental km mtoa mada au dishi liyumbe tu...leo ndo nimepata jibi kwann ndege john nakuonaga haziktosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AhahaaNgoja nisome stori tu mana mimi nilikuja nilijua kuzimia mademu