Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeSasa hivi madawa yake yameisha nguvu pamepwaya kinyama hana waumini kabisa wamebaki wachache sana
Kutesti mitambo hiyo ni imani ya wapi? Dini hairuhusu kutesti mitambo kabla ya kuoanaKukosa mwongozo ni jambo kubwa mno kwa mwanadamu, atahangaika sana na mwisho ni kufa na kwenda kukutana na majuto.
wana ufanano fulani hiviFlora ndio zumaridi au ni mwingine?
ni kweli zumaridi ni pisi kali hata yeye anajiona yuko hivyo. Kuna pisi nyingine iko arusha na yenyewe inajiona ni pisi kali, ila imeolewa ina mumeDah, Zumaridi yuko Mwanza, pisi kali sana yule dada namzimia sana
Zumaridi ni pisi kali ndio umri tu ila enzi zake alikuwa moto,ana umbo fulani poa sanaKhee, pisi kali yule?
DuhZumaridi ni pisi kali ndio umri tu ila enzi zake alikuwa moto,ana umbo fulani poa sana
Zumaridi ni mungu (sio Mungu) huyu Flora atakuwa malaika.Flora ndio zumaridi au ni mwingine?
Hii ni kweli,anasema kuna ndoa zimekufa kisa wanandoa hawatoshani,Mkuu acha kumsingizia mama wa watu jamani 😂😂😂
Bado yupo mkuu ?? Nataka nimpeleke mtu hapo ili nitest mitambo kiraini tu..Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Utatest na nani,anakuruhusu kutest na mchumba wako tuBado yupo mkuu ?? Nataka nimpeleke mtu hapo ili nitest mitambo kiraini tu..
Ndio nataka nimpeleke mtoto wa mtu hapo maana ananibania sana..Utatest na nani,anakuruhusu kutest na mchumba wako tu
HahahahahahNikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Kukosa mwongozo ni jambo kubwa mno kwa mwanadamu, atahangaika sana na mwisho ni kufa na kwenda kukutana na majuto.
🤣🤣🤣Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Mitambo gani hairuhusiwi kujaribiwa? Ulipe pesa bila kujaribu, isipowaka....Kutesti mitambo hiyo ni imani ya wapi? Dini hairuhusu kutesti mitambo kabla ya kuoana
Picha yakeNikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Kukosa kusimamia msimamo wako au imani yani ndio chanzo cha kuyumbishwa n hawa watuKukosa mwongozo ni jambo kubwa mno kwa mwanadamu, atahangaika sana na mwisho ni kufa na kwenda kukutana na majuto.