Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

Urban Edmund

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
2,250
Reaction score
3,607
Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead

Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa mambo yaliyopo kwenye Movie hii kwanza ushujaa wanaoonyesha wahusika wa kupambana na changamoto kubwa iliyowakumba (zombie Apocalypse) inawafanya watangetange mitaani kutafuta chakula (scavenging) kutafuta stahiki ili waweze kuishi (survival) kwa kufanya kila linalowezekana ili uwe hai maana one mistake umekufa

Inafundisha vitu vingi ikiwemo
DONT DARE TRUST NOBODY hii tunaiona kwa Rick na rafiki ake Shane, pia walivyoaminishwa kwa jamaa walipokuwa wanafunga safari kwenda Terminus, Father Gabriel alipowatosa waumini wake nje, kuna jamaa alitumwa aje Alexandria aharibu mambo na akaja kumuua siddiq
TRUE LOVE MAY EXIST HATA KAMA KUNA CHANGAMOTO hii tunaiona kwa Glenn na Maggie

NIMEWAHI KUZIONA MOVIE LAKINI SITAWAHI KUONA MOVIE KAMA THE WALKING DEAD
walking_dead_diversity_1_AMC_ringer.jpg
 
Alpha kiongozi wa the Whisperers amekuja kumchukua binti yake Alexandria house
images (5).jpeg
 
Yaani sasa hivi nimemaliza Episode 19 Season 11.
Nasubiri series ya Dead City watakuwepo Negan na Maggie.
mi bado sijamaliza aisee nilipoishia wanaonyesha maisha ya bwana Darly kipindi kaondoka kumtafuta Rick baadae anakutana na mrembo Leah pia wanaonyesha jinsi alivyompata mbwa wake(dog) na anavyokutana na kundi la the Judas
 
Back
Top Bottom