Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

Bado ujangalia series ww bado yani walking dead kwako ndo movie bora alooo ww bado ujangalia movie...
 
images (9).jpeg

From Left Darly Dixon (front) Aaron(nyuma) Maggie (mbele) Father Gabriel (nyuma)
 
Tafuta game of throne,the black list,prison break,breaking budy zitafute izo uziangalie...
 
Hii walking dead ilinishinda,ni movie nzuri mwanzoni lakini baadae nikaja kuona kama vile story inalazimishwa sana....
 
nilikuwa mfuasi mzuri wa the walking dead, niliachana nayo pale walipoanza issue za flashback (huku wanabadilisha rangi na kuwa black/white)
ikawa episode nzima ni flashback tu
unakuja stuka ni black/white mwishoni wa episode
 
ile ni hali ya kurudia matukio ambayo yalikua yanaleta ukakasi au ambayo hayajaeleweka
 
Hii muvi ya kijanja sana, ila changamoto za maisha zilinifanya niishie kati ila natamani niianze upya japo sina hakika kama nitapata kuanzia episode ya kwanza
zipo mkuu
 
ile ni hali ya kurudia matukio ambayo yalikua yanaleta ukakasi au ambayo hayajaeleweka
ooh basi walikua wananitoa kwenye reli kinoma
mwanzo hawakua nayo kabisa, mie mpenzi wa zombie/vampire films/series sana
nilianza nayo kipindi inatoka
niliruka na Van Helsing mpaka ep ya mwisho kabisa
 
ooh basi walikua wananitoa kwenye reli kinoma
mwanzo hawakua nayo kabisa, mie mpenzi wa zombie/vampire films/series sana
nilianza nayo kipindi inatoka
niliruka na Van Helsing mpaka ep ya mwisho kabisa
hawa jamaa kipande kimoja kizima wanamuongelea mtu mmoja tu ambaye ni star
 
Back
Top Bottom