picha linaanza first year
sem ya 1 nilipataga supp ya drawing
nikagoma kutoa pesa na nikachomoa
sem 2 nilipataga ya mathe
nikagoma kutoa pesa nika chomoaa
nikaenda mwaka wa 2,
nikajifanya mzoefu wa supp.
mwaka wa pili nikalamba supp 8 zote nilichomoa
mwaka wa 3 nikawa mzoefu nikawa na wafanyia watu supp..na nazichomoa balaaa
mwka wa 4 nikalamba disco
hiyo disco ukitaka kuijua SIKU ifungulie thread
but all in all maisha ya chuo yalikuwa bataa Sanaa
nakumbuka baada ya kuwa kinara wa remedial na supp.nikawa Sina khofu tenaa
kuna wahuni walikuwa wanajikuta wasomi sasa kipindi cha supp wakawa wanadai et wnafanya special
mwisho wa SIKU WOTE tunasomeshwa #kitaaaa