mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Me pia sijamuelewa huyu mkuu nikahisi sijui mathMkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
Nilipata supp ya business law first year nkachomoa chaap ..nkapata supp ya audit second year third year management chupu chupu nidakwe wakatuongezea marks nikaponea mdomoni ...aisee Supp n tamu san kama unazijulia !disccssn za supp mnakutana wote vilaza mnaelekezana ad raha , ambao hawajawai pata supp nadhan kuna k2 kama wamekikosa sana ktk elimu ya chuo
Nilipataga supp moja third year semester ya Mwisho.. Ilikua supp ya Audit. Nilipata stress maana naogopa Sana shule halafu miaka yote nimecheza mwaka wa tatu ndo nikala supp halafu sijui naichomoaje.
Uzuri ni kwamba ile supp tulipata karibia 75% ya tuliokua tunasoma hilo somo. Kuna mkaka nakumbuka alikuaga anafundisha review classes za CPA nae akashikwa kwenye supp.
Kuna mwalimu alikua anataka kunizoea sasa alivyojua Nina supp akataka kutumia chance anile halafu akaniombee kwa mwalimu mwenzie kwenye supp nichomoke. Nikamwambia Niko radhi kurudia mwaka ila sio kubadilishana mwili wangu Na supp. Nikajiapiza kutoomba msaada kwa mwalimu yoyote yule nitaifanya supp Na nitachomoa.
Siku ya kwenda kufanya supp Na nilivyo Na allergy Na masomo ya kuandika niliandika nilivyochoka nikabeba vitu vyangu nikakusanya pepa nikaondoka. Nikampigia bf wangu kumtaarifu mwakani narudia mwaka maana sina uhakika wa kufaulu. Hapo nimetoka kwenye pepa hata lisaa halijaisha.
Japo nilishazoeleka kutoka wa kwanza kwenye mitihani huu walijua imekula kwangu maana ulikua ngumu hatari. Nashukuru Mungu nilipita salama maana ile supp hata nikilala nilikua naiota. Nikawa nawauliza rafiki zangu ambao hamna semester inapita hawajahudhurua September Conference waliwezaje kukaa kwa amani wakati wakiwa Na supp mbili Na zaidi maana Mimi moja tu ilinikondesha
Bila shaka umesoma WIpicha linaanza first year
sem ya 1 nilipataga supp ya drawing
nikagoma kutoa pesa na nikachomoa
sem 2 nilipataga ya mathe
nikagoma kutoa pesa nika chomoaa
nikaenda mwaka wa 2,
nikajifanya mzoefu wa supp.
mwaka wa pili nikalamba supp 8 zote nilichomoa
mwaka wa 3 nikawa mzoefu nikawa na wafanyia watu supp..na nazichomoa balaaa
mwka wa 4 nikalamba disco
hiyo disco ukitaka kuijua SIKU ifungulie thread
but all in all maisha ya chuo yalikuwa bataa Sanaa
nakumbuka baada ya kuwa kinara wa remedial na supp.nikawa Sina khofu tenaa
kuna wahuni walikuwa wanajikuta wasomi sasa kipindi cha supp wakawa wanadai et wnafanya special
mwisho wa SIKU WOTE tunasomeshwa #kitaaaa
HahahaahaaMmmh sasa hiko chuo au Madrasa..??
Bahati nzuri mi sio kilaza mkuu.. Ningekua kilaza ningeliwa bila shidamhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh uliliwa bila hata ya kachumbari 😎😎😎😎😎
Nilisoma BA masomo 11 per year, 6/5 per semester mwisho supp 8 una disco!..🙂Mmmh sasa hiko chuo au Madrasa..??
Vyuo vingine UE ukishindws kufikisha 20 hata kama coursework una 40 umedakwaMkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
yaah mzee nilipitaga hapoBila shaka umesoma WI
Kwa Sasa bigogoto na mwanahanja wanaumiza vichwa sup zao za math zimebaki kuwa mitego me Kama hio NTA 5 integration na differental equation zilinisumbua sana.me ni wa eng.tumbo nawakilisha HYMyaah mzee nilipitaga hapo
water resources and irrigation engineer.
MKUU maisha ya kule yalikuwa full complication
nimemiss sana chama la kule
kubalizi pande za msewe na kuchill pale DDCA
katika faculty ambazo kwangu ni the best water resource ipo pouwa sanaa
kina tendwa bado ? na Yule principal msukuma bado yupo? au wewe intake ya mwaka Gani?
Rector ni yule yule shija kazumba, management ile ile the same.changes ni kidogo.wanataka waanzishe bachelor ya HYM na water LAByaah mzee nilipitaga hapo
water resources and irrigation engineer.
MKUU maisha ya kule yalikuwa full complication
nimemiss sana chama la kule
kubalizi pande za msewe na kuchill pale DDCA
katika faculty ambazo kwangu ni the best water resource ipo pouwa sanaa
kina tendwa bado ? na Yule principal msukuma bado yupo? au wewe intake ya mwaka Gani?
hahahahahaa komaeni madogoKwa Sasa bigogoto na mwanahanja wanaumiza vichwa sup zao za math zimebaki kuwa mitego me Kama hio NTA 5 integration na differental equation zilinisumbua sana.me ni wa eng.tumbo nawakilisha HYM
kwa majengo yapi ya kufanyaRector ni yule yule shija kazumba, management ile ile the same.changes ni kidogo.wanataka waanzishe bachelor ya HYM na water LAB