Mda wa kucheck moviebembea chumbani? Kwahyo mkuu mda wa kulala wewe unabembea? Kweli Kiduku Lilo kawaharibu watu hapa jukwaani
Yako ni ipi mkuuBado ndoto yangu haijatimia ila iko tofauti na yako
Nijenge sehemu maalum ya kusali ndaniYako ni ipi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bembea chumbani? Kwahyo mkuu mda wa kulala wewe unabembea? Kweli Kiduku Lilo kawaharibu watu hapa jukwaani