Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Laki tu inauzwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu bembea je zinauzwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki tu inauzwa
Yes hii tunaita adult bedNahitaji kuwa nayo nyumbani lkn chumbani hii inatoshaView attachment 1188529
Umaskin ni balaaMtu mzima unabembea kama zezeta aisee! How come?
Tena bembea la chumbani???
nipo mkuu tunapambana tuMkuu umepotea sana jamani
Tusipotezane sananipo mkuu tunapambana tu
Yes hii tunaita adult bed
Dah...nilipopanga chumba tu..yaani hii ndiyo fenicha ya kwanza kununua[emoji2960]Nahitaji kuwa nayo nyumbani lkn chumbani hii inatoshaView attachment 1188529
Dah...nilipopanga chumba tu..yaani hii ndiyo fenicha ya kwanza kununua[emoji2960]
tuambie na muda unaobembea kabisaaNdoto niliyokuwa nayo kwa mda mrefu ni kuweka bembea chumbani kwangu.
Ndoto nimeitimizi.,bembea ina raha yake
kubembea ni anasa sio mazoeziKubembea ni moja ya mazoezi
atakuwa anabembea kwenye mti huyu si ile ya watotonazani ungeanza kwa kutuambia maana ya hiyo bembea kwasabbu i have a feeling sio bembea tuliyoielewa sisi
ameenHallelujah
Nijenge sehemu maalum ya kusali ndani
Nahitaji kuwa nayo nyumbani lkn chumbani hii inatoshaView attachment 1188529
Laki tu inauzwa
Le mutuz akikaa hapo si anashuka na gypsum board yote!!Mkibanana wawili kwenye hili bembea halafu mmoja anamsoma kitabu kwa sauti mwingine anasikiliza, yaani taamuu....
Le mutuz akikaa hapo si anashuka na gypsum board yote!!
Hii kwa chumbani inanoga kwa staili flani flani hivi.... Yaani unaipata barabara bin ameizing'nn.
Le mutuz akikaa hapo si anashuka na gypsum board yote!!