Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'.
Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake zilipoanza kushuka.
Wawekezaji wakubwa na wadau wa Credit Suisse wamekataa kuendele kutoa msaada wakifedha kwa wanaokopesha.
Hii imepelekea hisa kushuka kwa kasi ya hatariiii kwenye masoko ya hisa Ulaya na Marekani na Kuifanya Credit Suisse kuipigia magoti Swiss Central Bank kuipiga jeki.
Tuliowekeza hela zetu Credit Suisse matumbo joto. Ikitokea Deutsch Bank nayo ikapata huu msala wadau tumekishwa.
Hope napo huko matax haven ma offshore mambo shwari tusianguke na presha.