Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Marriages occur in heaven that's marriages are decided upon by higher forces which should be surrounded to.
 
mi 94 lakini najiona nimechelewa sana kuoa ila nina mtoto wa miaka 2 na miezi miwili.. Nawaza next year isinipite kavu wakuu hii kujipa moyo eti umri bado mtakuja kukutana na mwanangu clinic[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama kweli una miaka zaidi ya 25 na hujaoa halafu husomi amini hujui kutongoza, we mwanaume gani huwezi hata kupagawisha mtoto ahamie kwako??

Acheni kujitetea maisha mara ooh tunawala Uanaume ni kumiliki mabroo tuache ujinga bhana, mi nimeshaamua next year mke ndani haijalishi anachepuka au laah, [HASHTAG]#NAOA[/HASHTAG].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…