Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Aisee me nikikukuta Unatoka na mdogo wangu wa 99 utanitambua hata kama sheria inaruhusu..
Hao ndio wajuzi kuzidi hata wahenga, ukizamisha Coca-Cola hadi mayai mawili yanakaribia kuzama! We bakia eti "mdogo wangu wa 99"!
 
Ujafunga mlango ghetto nin mbna unawah kutoka basement mapema
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Dah....Uzi wa madogo huu....mkikwama mtualike wahenga tuwape mbinu... 😛
 
Back
Top Bottom