agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Hapa tumeitwa wa 90s ila nashangaa wazee mmejazana kwenye Uzi wetu.1985
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tumeitwa wa 90s ila nashangaa wazee mmejazana kwenye Uzi wetu.1985
Pamoja [emoji109]No worries
Unatutisha lol..NAKUMBUSHA TU
Mwaka - Umri
1989 29
1990 28
1991 27
1992 26
1993 25
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo..
Utakumbuka shuka wakati kumeshakucha!
Hahaaaa. Hapana rafiki.Wewe nawe wa tisiniz?
Si unajua naangalia ka binti kamoja niingie nae mkataba wa kumuweka ndani. Naanza na wewe.Hapa tumeitwa wa 90s ila nashangaa wazee mmejazana kwenye Uzi wetu.
Ume fall kwenye group lipi hapo ?Unatutisha lol..
Kukumbushia tu, ALIYEZALIWA 1999 MWEZI WA TANO TAREHE KAMA YA LEO, YUKO TAYARI KWA MATUMIZI, KISHERIA hautakuwa matatizoni. Sasa wewe uliza wa 1990s kama umechelewa au umewahi.Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]
Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au tusubiri amalize miama yake 10?
Khaaaah!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu nitole balaa mie sitaki kucheka sasa hivi
Ila msalimie sana shem[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee me nikikukuta Unatoka na mdogo wangu wa 99 utanitambua hata kama sheria inaruhusu..Kukumbushia tu, ALIYEZALIWA 1999 MWEZI WA TANO TAREHE KAMA YA LEO, YUKO TAYARI KWA MATUMIZI, KISHERIA hautakuwa matatizoni. Sasa wewe uliza wa 1990s kama umechelewa au umewahi.
Wacha watoto tuchaguane mnatuharibia...Si unajua naangalia ka binti kamoja niingie nae mkataba wa kumuweka ndani. Naanza na wewe.
Wa 90 -97 hakuna tatizo ila huyo wa 99 hapana ,ndomana mabinti wameharibika sana.Si mtu mzima?? Sasa tatizo nini?? Najua 99 inaonekana jana tu ila ndio hivyo! Mimi nina mdogo wangu wa late 90, kwangu namuona bado dogo sana maana nimembeba beba sana ila ndio! Nakereka sana.
Nyie mabinti mnatuhitaji sisi tunaoweza kuwa spoil.Wacha watoto tuchaguane mnatuharibia...
AiseeNyie mabinti mnatuhitaji sisi tunaoweza kuwa spoil.