Muda mrefuUshaolewa bibie?
Nimechokoza mada bibie, twaweza wanachukua takwim humuHadi wewe mtoa mada wa 90s?basi jf ina watoto wengi.
Nakuunga mkono mitazamo yetu inalinganaMkuu kwa wanawake labda ndio waanze kupata presha..
Lakini kambi ya kiumeni tunasema tunaoa na miaka 30+ na mtu aloyezaliwa 1990 ana miaka 28 tu..
Kwahio mida yetu wanaume bado..
Wanawake wa 90's kama hawajaolewa wajitafakali wanakosea wapi na waanze kwenda kwenye nyumba za ibada kuombewa mapemaa
Hatar kakaNaitafuta 30 now na vyuma vimekaza hatari! na bora ningejiongeza kabla jiwe hajaingia madarakani! hivi vyuma ningekomaa navyo nikiwa ndani ya ndoa
Haya baba.Nimechokoza mada bibie, twaweza wanachukua takwim humu
Kwani si umeshaoa ww88+ haturuhusiwi kusema chochote hapa?
TayariKwani si umeshaoa ww
Kimya kimya[emoji23][emoji23]naona hamkutaka makuu nyie...Mi ndo nimeolewa na hazard mwaka huu
shkamoo. naomba nije pm nkuambie jamboUzi wa watoto huu, wazee hautufai.
Kujichoresha kwa watu na kadi za michango tulikataa hyoKimya kimya[emoji23][emoji23]naona hamkutaka makuu nyie...
Hahhaa mmetisha sanaa[emoji122]Kujichoresha kwa watu na kadi za michango tulikataa hyo