Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Kikwazo.... Vijana wanatoka nduki
IMG-20180503-WA0019.jpg
 
Mkuu kwa wanawake labda ndio waanze kupata presha..
Lakini kambi ya kiumeni tunasema tunaoa na miaka 30+ na mtu aloyezaliwa 1990 ana miaka 28 tu..

Kwahio mida yetu wanaume bado..
Wanawake wa 90's kama hawajaolewa wajitafakali wanakosea wapi na waanze kwenda kwenye nyumba za ibada kuombewa mapemaa
Nakuunga mkono mitazamo yetu inalingana
 
Naitafuta 30 now na vyuma vimekaza hatari! na bora ningejiongeza kabla jiwe hajaingia madarakani! hivi vyuma ningekomaa navyo nikiwa ndani ya ndoa
 
Back
Top Bottom