DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hii limitation ya miaka umekaririshwa na nani ?kukaza vyuma hakuna uhusiano na kuoa...huko ni kutafuta kichaka tu cha kujificha...
ila acha kupanick muda bado, sio mbaya kama ni me ukio na 30's....ila kama ni ke ndo jua linazama hivyo!
Exposed to corrupt world.We in here man,,,, it's great to be young and exposed
Umesahau kwamba umri wa kijana kwa sasa ni hadi miaka 60.Wanaanzia Miaka 45 kama niliyonayo
Wabongo gani hao?Sijajua kwanini wabongo tunapenda sana salama za kuabudiwa.
Mimi na 45 yangu najiona mzee, sio dhambi ujueUmesahau kwamba umri wa kijana kwa sasa ni hadi miaka 60.
Wewe ni mmojawao chiefWabongo gani hao?
Wew ni kijana aliyekomaa sio mzeeMimi na 45 yangu najiona mzee, sio dhambi ujue
Nini kinakufanya uone napenda salamu za kuabudiwa?Wewe ni mmojawao chief
Eti kijana aliekomaa ndiyo nasikia leo [emoji23][emoji23]Wew ni kijana aliyekomaa sio mzee
Kivuli cha utumwa bado kinatutesaSijajua kwanini wabongo tunapenda sana salama za kuabudiwa.
Hivi chanjo ya ndui kwa injection iliishia 1989 ??Kizazi cha matone huu ndio uzi wenu sisi wa kizazi cha ndui tumekaa pembeni
Ndio uzee unaanzia 60+Eti kijana aliekomaa ndiyo nasikia leo [emoji23][emoji23]
PoleeeKivuli cha utumwa bado kinatutesa
Vyuma vilegee mkuuUnasikilizia nni chief ?
Kitendo cha kumwambia mtuNini kinakufanya uone napenda salamu za kuabudiwa?
Chura haizeekiUzi wa watoto huu, wazee hautufai.