DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hii limitation ya miaka umekaririshwa na nani ?kukaza vyuma hakuna uhusiano na kuoa...huko ni kutafuta kichaka tu cha kujificha...
ila acha kupanick muda bado, sio mbaya kama ni me ukio na 30's....ila kama ni ke ndo jua linazama hivyo!