Hahahah mkuu uko fast
Mara ya kwanza kwenda mkoa fulani
Nakumbuka nilifika mchana,kwanza ni namna watu wa ule mkoa walivyokuwa wananiangalia sana,mwanzo sikujua ni nini lakini baadae nilikuja kujua ni namna nilivyokuwa nimevaa
Kilichonishangaza ni lile vumbi,baridi na mvua za karibia kila siku
Suala la usafiri unapanda kiboss tu,sio kukimbizana kama baadhi ya sehemu Dar
Hakuna foleni
Watu wa ule mkoa wanasalimiana asee
Ukiwa na 2k ule mkoa unasurvive hata wiki kwa chakula
Watu wa kule wanakwambia kabisa ile nyumba kuna mama fulani ni mchawi
Wanazika nje ya nyumba tu hapo,yani nje ya nyumba kukuta makaburi mawili matatu ni kawaida kwao π€¦ββοΈ
Kingine wanategemea kila mtu anayeishi kule ni wa kabila lao,ukikutana nao wanakuongelesha lugha wanayojua wao
Ms eyes