Tuliozaliwa mapacha (twins)tukutane hapa tupeane michapo

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Wanajamii
matwins wenzangu!
hakuna jambo zuri kama kuzaliwa twins(identical twins)kurwa na doto.
kweli kuna raha sana kuwa wawili pamoja mkiwa mmezaliwa siku moja mwezi mmoja na mwaka mmoja.
toka utoto wetu tunapendana lakini kila siku haipiti bila kugombana!haijalishi umri wetu na tuna familia!
mengi sana nakumbuka ingawa mwenzangu yupo mbali sasa(canada)lakini siachi kukumbuka vituko vyetu!
ye alikuwa mpole mi ndo nilikuwa naanzisha varangati.enzi hizo tunapiga gym balaa tumepasuka kinoma.
makondakta tulikuwa tunawatandika balaa hadi tukawa tunapanda hiace bure kwenda shule!
walimu wamekula kichapo cha haja lakini hawajui aliewapiga nani??inabidi watusamehe tu.


Kwa walio twins tukutane hapa mkumbuke hizo enzi mlivyosumbua
 
Raha ya twins ukubwani.Ila wazazi wenu cha moto walikiona mpaka mnafika hapo. Watunzeni sana.

Binafsi watoto wangu sio twins but wana pishana kidogo.

Wakiumwa sasa. Utajiuliza ubebe yupi, umuweke chini yupi......Yaani!

Hapo tu ndo pachungu. But wanapeana kampani, wanapeana support nishawahi kuwaona wanamvimbishia kifua dogo flani mkubwa kubwa aliwanyang'anya mpira. Nikataka kuingilia kati nikawaacha nione. Aisee sikuamini😀😀
 
Mimi ni doto tunazinguana kila siku na huyu my twin kulwa coz ni mbabe mnoo...hebu ngoja nimuite

cc Winnie
 
Duuh sisi tupo identical twins lakini hatujawahi gombana hata siku 1 mpaka sasa tuna zaidi ya miaka 30+,
 
Mimi ni twin pacha wangu ni ke but tuliwahi mtembezea kichapo jamaa flani hivi enzi za primary, dotto wangu alikija gafla kamuona jamaa ananishika shart aisee kumuona Dotto hvi nikapata nguvu na hamasa tukaanza kchapa vibaya
 
Kuna jamaa jirani yangu hapa Ushirombo, huwa namsikia mkewe akimuita "patchaaa...." Kwa mbwembwee......
Basi hapo ndipo hasa mdomowangu huwa unabakia wazi haswa....[emoji47] [emoji47]
 
Sijui mie ni kulwa ama doto.. Mwenzangu alikuwa ananibadilishia kila siku...
N.......popote ulipoooo [emoji179][emoji179][emoji179][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Nishatafuna ma twin wote, wote wakiwa wanaishi mikoa tofauti.

Mmoja alipokuja gundua akasema kabla varangati halijaanza bora niachane na wote.

Nikawapotezea wote ingawa mmoja hajui ilikuwaje.

Matwin watamu sana, hata maumbile ya ndani hufanana
 
Write your reply...jamani my twin..... she is so bright yaaani... ngumi zetu hazikuwa za kitoto, namuombea Mungu afanikishe jambo moja kubwa sana maishani...!!!


twin wangu Marie, learned sister legal empress.. I love you, I will always be on your side, Amen.
 
Kutofautiana lazima kuwepo kati yenu,ukumbuke kila mmoja alikuwa na mfuko wake tumboni,kwenye kuzaliwa kila mmoja alitoka kwa muda wake,ni hivyo tu mna-share siku ya kuzaliwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…