adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Wanajamii
matwins wenzangu!
hakuna jambo zuri kama kuzaliwa twins(identical twins)kurwa na doto.
kweli kuna raha sana kuwa wawili pamoja mkiwa mmezaliwa siku moja mwezi mmoja na mwaka mmoja.
toka utoto wetu tunapendana lakini kila siku haipiti bila kugombana!haijalishi umri wetu na tuna familia!
mengi sana nakumbuka ingawa mwenzangu yupo mbali sasa(canada)lakini siachi kukumbuka vituko vyetu!
ye alikuwa mpole mi ndo nilikuwa naanzisha varangati.enzi hizo tunapiga gym balaa tumepasuka kinoma.
makondakta tulikuwa tunawatandika balaa hadi tukawa tunapanda hiace bure kwenda shule!
walimu wamekula kichapo cha haja lakini hawajui aliewapiga nani??inabidi watusamehe tu.
Kwa walio twins tukutane hapa mkumbuke hizo enzi mlivyosumbua