Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ntatumia hata hayo maembe sindanoMe sina maembe dodo babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntatumia hata hayo maembe sindanoMe sina maembe dodo babu
Uvae ukienda kwenye kitchen party sio humuShougaa.... Lemba mara moja moja sio mbaya
Kwenye vijana lazima waheng tuwepoMnaharibu uzi wa vijana
Kwahiyo dada na we wa 90 toka lini lakini mbona unataka kuvunja mbavu zanguAkuu
Mie bado bhanaa
HatutakiiiiiiHahaha
Ujana wa Sakayo upi bhanaa... Narudisha lemba langu nimelifua bado halijakauka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntatumia hata hayo maembe sindano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mababu na mama wadogo wamevamia uzi wenu. Poleni.
HahahaKwahiyo dada na we wa 90 toka lini lakini mbona unataka kuvunja mbavu zangu
HahahaKwenye vijana lazima waheng tuwepo
MmmmhUvae ukienda kwenye kitchen party sio humu
Umeanza lini kiburiHatutakiiiiii
Hivi unataka kuvumbua nini au unataka kubemendraaa watoto wa watuHahaha
Tulia bhanaa mieee wa 20 ujue
Hii avatar mpaka nije nikuzoee sio leo ujue [emoji4]Hahaha
NdiwoooooMmmmh
Hapo utakapobadili avatarUmeanza lini kiburi