Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee.

Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru.

Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini, Niujue upande wa pili wa maisha ya kijijini nje ya maisha ya town / jiji.
 
Umezaliwa bugurun au cyo mkuu 😂 b mkubwa Hana kijijin kwao naye n mtt wa mjini..
 
Back
Top Bottom