Nakazia linapofeli linakua lao, wakifanikiwa unakufa na kukana hawahusiki.Bongo,jaribio la utekaji likifeli wale jamaa hujitokeza na kusema ilikuwa wao si utekaji,ila likitiki hawahusiki.😀
Tukio likiacha ushahidi tu,wanajitokeza kuwa ni wao.
BTW: Huyo kijana wa boda kiugwana tu alitakiwa awafuate japo aseme asante!
Haha ikitick wanakula buyu na ndiyo imeenda hiyoBongo,jaribio la utekaji likifeli wale jamaa hujitokeza na kusema ilikuwa wao si utekaji,ila likitiki hawahusiki.😀
Tukio likiacha ushahidi tu,wanajitokeza kuwa ni wao.
BTW: Huyo kijana wa boda kiugwana tu alitakiwa awafuate japo aseme asante!