Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Saa nyingine mimi naon ni Sawa tu.
Kwani tangu tumekuwa na hayo madini au gesi au misitu na wanyama je kama Tanzania au wewe mwenzangu mvuja jasho tumefaidika nini chini ya CCM?
Mimi naona kama hatuwezi kunufaika navyo basi tuwape watu wanaoweza wao wazifaidi maana mali zenyewe hatujaweka sisi na kwamba watu wote duniani tumeumbwa n Mungu mmmoja.
Yangu ni hayo tu