Tulipigwa kwenye Madini, tukapigwa kwenye Gesi sasa tutapigwa kwenye Bandari 😅

Bandari hii wanaifaidi wachache sana, yaani wale tu wanaofanya kazi huko bandarini na ndugu zao. Bandari ibinafsishwe kwa mwarabu.
How old are you?? Simply because uko na wivu wa kitoto kabisa.

Anyway, nasikia unavuliwa ubingwa
 
Bandari hii wanaifaidi wachache sana, yaani wale tu wanaofanya kazi huko bandarini na ndugu zao. Bandari ibinafsishwe kwa mwarabu.
Poa tu bora wafaidi waarabu.

Maana hawa weusi wenzetu wanajua wanatuibia na bado dharau mtaani.
 
Back
Top Bottom