Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wacha wauze kwa maslahi ya viongoziMwinyi ameuza LOLIONDO,mkapa mabenki,KIKWETE gesi madini na ardhi yote ,Samia amekuja kumalizia kuuzwa Ikulu yaani amekaa miaka miwili Tu hivi akikaa miaka 10
Zaidi ya Rulertunanyooshwa
π π πKwenye makinikia nilikuwa nangojea noah yangu, ikageuka kuwa balimi na yenyewe ikayeyuka nasikia tulishitakiwa migaπ
Mungu haungi mkono wajinga wssiojielewaMimi naomba tu Mungu awemuamuzi kwenye haya yote wanayoyafanya ,nakama ni kwa maslayi yao binafsi sio kwa nchi.Mungu hawe upande wetu.Hawabariki na kuwaongeza Hekima kwenye maamuzi yao.
TusimameSaa nyingine mimi naon ni Sawa tu.
Kwani tangu tumekuwa na hayo madini au gesi au misitu na wanyama je kama Tanzania au wewe mwenzangu mvuja jasho tumefaidika nini chini ya CCM?
Mimi naona kama hatuwezi kunufaika navyo basi tuwape watu wanaoweza wao wazifaidi maana mali zenyewe hatujaweka sisi na kwamba watu wote duniani tumeumbwa n Mungu mmmoja.
Yangu ni hayo tu
Hatariii sanaaaMwinyi ameuza LOLIONDO,mkapa mabenki,KIKWETE gesi madini na ardhi yote ,Samia amekuja kumalizia kuuzwa Ikulu yaani amekaa miaka miwili Tu hivi akikaa miaka 10
Watz tutapigwa sanaSaa nyingine mimi naon ni Sawa tu.
Kwani tangu tumekuwa na hayo madini au gesi au misitu na wanyama je kama Tanzania au wewe mwenzangu mvuja jasho tumefaidika nini chini ya CCM?
Mimi naona kama hatuwezi kunufaika navyo basi tuwape watu wanaoweza wao wazifaidi maana mali zenyewe hatujaweka sisi na kwamba watu wote duniani tumeumbwa n Mungu mmmoja.
Yangu ni hayo tu
Vipi chama lako pendwaaaHatariii sanaaa
Huijui ccm weweUmelewa "mbandandu"?!!!!
Hakuna kupigwa....kuna kutengeneza maslahi mapana ya nchi.....hivi hujui kuwa kutokusomana mifumo ya TEHAMA kati ya TPA na TRA ndiko kupigwa kwenyewe?!!!!
#SiempreJMT[emoji120]
Wewe ndiye unayeijua....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huijui ccm wewe
Tumepigwa pasi ya mkaa.tunanyooshwa
π π π noma sanaTumepigwa pasi ya mkaa.