Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

Mawazo yangu, unaweza fanya scrab, mimi nakaa mjini kabisa Dar, na saloon zangu ni Sinza, nasema, sijawahi lazimishwa au ku experience mazingira yeyote yanayonishairia shinikizo la ngono, labda nyie ma handsome sana siwezi kujua, au mnajiendekeza na kupenda hayo mambo.

Ukiwa serious kunyoa, kusafishwa na kwenda, hayo hayawezi tokea, labda uwe unauliza uliza maswalli kwa sababu zako. Ukiheshimu watu na wao watakushehimua pia.
Unajua bro dar washamba kibao yaan unakuta mtu ananyolewa vzur anamaliza mdada anamkaribisha twende sehem ya kukuosha kchwa pia Kuna superblck ,scrub,facial mask
Sasa jitu lnafkir kule kwny kuosha ndy kutiana unamskia anasema aah mm nifute tu Hapa Hapa huko siwez kwenda hahahaa ndy kama huyo Sasa yy alvoulizwa Kuna kngne karb nkuhudumie akajua anataka kupewa mzgo
Yaan anaushamba kwl
 
Huyu mwana hii 🥒 inafanya kazi kweli? Maana yupo bize na kazi hana mda wa kushangaa! Da mi ningeshindwa kwa kweli.
 
Kuna salon nilienda kunyoa wale wadada wanaoosha wateja akaniuliza kuna huduma nyingine yeyote ile unataka nikupatie??
Anakuuliza hivyo huku vidole vikiskrabu masikioni tartiib.

Hapo huchomoki bila nguvu za Roho Mtakatifu
 
Back
Top Bottom