Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

Unajua bro dar washamba kibao yaan unakuta mtu ananyolewa vzur anamaliza mdada anamkaribisha twende sehem ya kukuosha kchwa pia Kuna superblck ,scrub,facial mask
Sasa jitu lnafkir kule kwny kuosha ndy kutiana unamskia anasema aah mm nifute tu Hapa Hapa huko siwez kwenda hahahaa ndy kama huyo Sasa yy alvoulizwa Kuna kngne karb nkuhudumie akajua anataka kupewa mzgo
Yaan anaushamba kwl
 
Huyu mwana hii πŸ₯’ inafanya kazi kweli? Maana yupo bize na kazi hana mda wa kushangaa! Da mi ningeshindwa kwa kweli.
 
Kuna salon nilienda kunyoa wale wadada wanaoosha wateja akaniuliza kuna huduma nyingine yeyote ile unataka nikupatie??
Anakuuliza hivyo huku vidole vikiskrabu masikioni tartiib.

Hapo huchomoki bila nguvu za Roho Mtakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…