Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba tunacheza aahπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Lile suala lingeniletea athari sana, hasa ukizimgatia na muonekano wangu.
 
Unamuonekano wa She ?
 
Kucheza michezo ya kike na mabinti haina shida inategemea hiyo fursa uliitumiaje kwa kutegemea mazingira uliyoishi. Wenzio walicheza na mabinti hawakuwaacha salama hadi dada zao. Wengine ndio ilikuwa fursa ya kuzinduliwa gun na beki tatu na wengine dada zao walisaidia kuwapelekea viumbe wa kuwatafuna na dada akaenda kutafunwa upande mwingine.

Hicho kipengele kingine ni cha kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…