Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Samia anasema huyo nyani mweupe ana thamani kuliko watanganyika
Samia anasema huyo nyani mweupe ana thamani kuliko watanganyika
No, sasa hivi anakatikiwa akiwa ameshika ukutaCha kushangaza mpaka Sasa hivi bado unakatika tu.
UtJuaje kama hakuaribikaHayo mambo ndio yapo sasa, kina baba kama una kadume katengee muda wa kutosha kila wiki.
Nina mifano ya kina mama kuwaharibu vidume, kwa kuwavilisha nguo za like, kuchezea midoli ya like, kukatika miziki kama wao, kutembea kwa maringo kama mademu, kuwakataza na kuwakea wakiwa na tabia za vidume!
Hatari sana sana sana!
Shukuru mwenyezi Mungu mdau hukuharibika!
At least mkuu umenielewa, wadau humu wanafata mkumbo.Kuna jambo la msingi hapa unalionyesha kwa jamii ila watu wanakulaumu tuu Hoo kwahiyo hadi leo unakatika.
Kuna vitu wazazi wanakosea kwenye malezi kwa kuchukulia watoto wote ni kama jinsia moja.
Kitu ambacho sio sawa.. Mtoto wa kiume afanyiwe vitu vya kiume aendane na jinsia yake. Ila ni kama hulka wazazi wengi malezi yao yanaendana na malezi ya watoto wakubwa. Ndo maana kuna watoto huwa mashoga kwasababu wazazi walimuachia mtoto wa kiume kufanya kila jambo kama dada zake kitu hupelekea kujiona jinsia yake sio sahihi.
Mtoto wakiume una mkatishaje kiuno? hili ni kosa la wazazi.
Mtoto wakiume mnunulie mipira, mpe shoka apasue kuni, mnunulie manati awinde ndege, nenda nae kuwinda hata wanyama kama ni kijijini.