Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

Kuna jambo la msingi hapa unalionyesha kwa jamii ila watu wanakulaumu tuu Hoo kwahiyo hadi leo unakatika.

Kuna vitu wazazi wanakosea kwenye malezi kwa kuchukulia watoto wote ni kama jinsia moja.

Kitu ambacho sio sawa.. Mtoto wa kiume afanyiwe vitu vya kiume aendane na jinsia yake. Ila ni kama hulka wazazi wengi malezi yao yanaendana na malezi ya watoto wakubwa. Ndo maana kuna watoto huwa mashoga kwasababu wazazi walimuachia mtoto wa kiume kufanya kila jambo kama dada zake kitu hupelekea kujiona jinsia yake sio sahihi.

Mtoto wakiume una mkatishaje kiuno? hili ni kosa la wazazi.
Mtoto wakiume mnunulie mipira, mpe shoka apasue kuni, mnunulie manati awinde ndege, nenda nae kuwinda hata wanyama kama ni kijijini.
 
Kwahiyo unajua sana kutikisa tako kama dada zako sio? Sasa umeacha?
 
We ni gay?
 
Humu tulishakuelewa kuwa unauza kopo, wewe kaendeleze matangazo kwenye media nyingine humu wote tuna taarifa.
 

HII NJIA YA KUJITANGAZA KUWA WEWE NI PUNGA NA UNAJUA KUKATA KIUNO WAJANJA TUMESHTUKIA. NYIE MITAKATAKA MPO WENGI SANA. AWAMU HII MNAJIWEKA TU WAZI.
 
Hasara nyingine kwa taifa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…