Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

Huko mbeleni ukiwa unachangia mada hata kama ikiwa nzuri vipi atatokea member asiyekupenda atakuambia umeacha kukatika viuno na dada zako ili mradi akukejeli tu.

Vitu vingine ni vya kumezea sio kila kitu ni chakukileta humu.
 
πŸ˜‚Umenikumbusha comedian mmoja aliyesema, "Where I grew up, you're whatever gender your most siblings are."
 
Ivi unakuaje na mtoto bwabwa, Mi kiukweli kua na mtoto kama uyu ni bora niue niwe jela tu
 
Vipi bado huo ujuzi haujakusaidia kwa lolote?🀣🀣🀣
Tuambie ukweli
 
Bonge la kaka, kaka, kaka, kakaaaaaa.....bonge la kaka
 
Weka namba tukutafute tuone kama kweli unajua kukatika
 
"Ikiwa hautopata Ile nimekuambia Mguu wa mtoto wa miaka tisa hautatulia"
 
man down
 
Unashangaa hayo ya wewe kukatika ukiwa mdogo ...mbona kwa sasa hivi taifa la Tanganyika na majeshi na wananchi wote tunakatikishwa mauno na SAMIA NA SHANGA KIUNONI KUMEVISHWA SI JWTZ SI MAHAKAMA SI MISIKITI SI POLISI SI VYOMBO VYA HABARI WOTE WANAKATIKA MAUNO TUKUNYEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…