Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

Hayo mambo ndio yapo sasa, kina baba kama una kadume katengee muda wa kutosha kila wiki.
Nina mifano ya kina mama kuwaharibu vidume, kwa kuwavilisha nguo za like, kuchezea midoli ya like, kukatika miziki kama wao, kutembea kwa maringo kama mademu, kuwakataza na kuwakea wakiwa na tabia za vidume!
Hatari sana sana sana!
Shukuru mwenyezi Mungu mdau hukuharibika!
 
UtJuaje kama hakuaribika
 
At least mkuu umenielewa, wadau humu wanafata mkumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…