Tulipokuwa wabovu Ajibu alikuwa Star wetu pia

Wewe kweli mpira haufatilii. Feisal ategemewi tena kwenye kiungo, feisal shughuli yake siku hizi ni mbele huko kwenye ushambuliaji. Anachezewa namba 10 huku viungo kuna Bangala, Aucho , Mukoko, na hata Farid Musa alipangwa kwenye nafasi ya kiungo.
Unajifanya unajua kumbe hujui. Hiyo namba 10 uliyoitaja ni kiungo kwa kimombo inaitwa attacking midfielder. Kuna viungo wa aina nyingi sema amebadilishiwa aina ya kiungo na kwa sasa mnategemea awabebe kutengeneza nafasi za kufunga au afunge.
 
Kukoshwa ndio kufanyaje hata mimi naweza kusema nimekoshwa na Kapombe lakini takwimu ndio zinaongea ni mchezaji yupi anaetegemewa.
Utopolo mbovu ya msimu uliopita mchezaji wenu bora ni Feisal.

Hata utopolo hii mchezaji mnaemtegemea atengeneze nafasi au kufunga ni Feisal.
 
Kama umetuchagulia Feisal sawa,dogo si ana goli 3 na Makolo FC wana goli 3 hiyo imekaa powa kama ukituchagulia Feisal ndo mchezaji wetu bora kwa sasa.
 
Kama umetuchagulia Feisal sawa,dogo si ana goli 3 na Makolo FC wana goli 3 hiyo imekaa powa kama ukituchagulia Feisal ndo mchezaji wetu bora kwa sasa.
Sio mchezaji wenu bora tu kwa sasa bali huyo ndio mchezaji wenu bora kwa utopolo zote ambazo ni mbovu tangu ajiunge. Na kwa sasa bado mnategemea dogo aibebe utopolo na hiyo iko wazi.
 
Sio mchezaji wenu bora tu kwa sasa bali huyo ndio mchezaji wenu bora kwa utopolo zote ambazo ni mbovu tangu ajiunge. Na kwa sasa bado mnategemea dogo aibebe utopolo na hiyo iko wazi.
Msimu uliopita mchezaji wetu bora alikuwa Mukoko we KOLO unatakiwa ujue,ila kama wewe umetuchagulia Feisal dua[emoji120]
 
Ila alikaa muda mrefu bila kuchezeshwa...
Toka lini kocha mwenye akili timamu akachezesha mchezaji mbovu?? Mchezaji mbovu lazima akae benchi tu tena benchi la muda mrefu kama Gadiel[emoji1787][emoji1787]
 
Msimu uliopita mchezaji wetu bora alikuwa Mukoko we KOLO unatakiwa ujue,ila kama wewe umetuchagulia Feisal dua[emoji120]
Pia sio dhambi utopolo kutuchagulia Ajibu tunashukuru enyi utopolo.
 
Kitu umesahau ni kuwa kipindi kile UTO haikuwa na timu mbovu bali pesa ndo ilikuwa shida,liweke sawa hili ili twende sawa.Ajibu anajua mpira sema shida yake moja tu,anacheza anavyotaka yeye sio mnataka nini.Kwahiyo siku akiamka anataka kucheza mpira atacheza mpira wenyewe mtapenda na siku akiamka anataka kufanya yake atafanya vile.Ila ukweli ni kwamba kipindi kile UTO pesa tu ndo ilikuwa shida na mshukuruni Zahera nyie wahuni,alikuwa anawalipia hadi gharama za usafiri!! hovyo kabisa.

Mwenyewe nipo MSIMBAZI anayetaka kuniua aje tu.
 
Tuwekee wachezaji wa Yanga wa kipindi hiko aliocheza nao Ajib ambao wanaweza kuchukua nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba
 
Nina Imani nchi hii kwa wazawa.hamna namba kumi Kama ajibu hayo yasemwayo ni mtu Tu kaamka na kuandika kuchangamsha jukwaa Tu
 
KUMBE MLIKUWAGA WABOVU? SIYO KWAMBA TFF YA KARIA WAMEWAMINYA HII MIAKA 4? SUBIRI ROUND YA PILI VILIO VIANZE KWA KARIA
 
Mliwahi kusema ana gundu akija kwenye timu haichukui makombe mkaaminishana kwa nguvu kuwa kwa kuwa karudi simba basi makombe yanahamia Yanga njoo mtuambie bingwa wa VPL last season ,bingwa wa NGAO YA JAMII na bingwa wa Azam Fc Federation cup mlichukua ninyi Yanga?
 
Unaniuliza mimi kwani uliwahi kunisikia nikimshinikiza mchezaji kuwa na gundu? Kinachojadiluwa hapa na moja wapo ya mada ambayo mimi nimechangia ni hii ya Ajib kuimbwa kama mkombozi wa Simba kwasasa
 
Unaniuliza mimi kwani uliwahi kunisikia nikimshinikiza mchezaji kuwa na gundu? Kinachojadiluwa hapa na moja wapo ya mada ambayo mimi nimechangia ni hii ya Ajib kuimbwa kama mkombozi wa Simba kwasasa
Kaikomboaje? Ulitaka asicheze na akicheza vizuri apondwe sio? Maana kwangu mimi alicheza vizuri sana sasa hapo tu ndo ashakuwa mkombozi wa timu kivipi?
 
Endeleeni tu kupiga domo na kujipa moyo hata msimu uliopita ilikuwa hivi hivi mambo yalivyogeuka mkaamia kwa TFF na waamuzi.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahaahahhaaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…