Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!

Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U timu itakuwa inapigwa mtungo mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!

Hakika Kila klabu pale EPL itakuwa inaidinya tu hii Mantesa.

Scars.
 
huwa nazimisi sana zile nyakati tim yangu chelsea na man u zikiwa kwenye ubora ,sikuhizi tumepoteana sana.. CHELSEA tatizo lilanza baada ya roman kupigwa zengwe ila watani zngu sijui shida ni nn,.
 
huwa nazimisi sana zile nyakati tim yangu chelsea na man u zikiwa kwenye ubora ,sikuhizi tumepoteana sana.. CHELSEA tatizo lilanza baada ya roman kupigwa zengwe ila watani zngu sijui shida ni nn,.
Yule Roman alikuwa mtu haswa. Si kama hawa matajiri wanaojali zaidi faida binafsi kuliko makombe.
 
Back
Top Bottom