Tuliposema na wao wanafuata kabla ya 2025 chawa walibisha. Alluta continua

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Mungu wa mbinguni ni wa wote tumisifu na kumtukuza tupendane sisi sote wapitaji ndivyo kauli za utu na ucha Mungu.

Kwa wale wasioamini waendelee na Imani zao ukiombea baya kwa pretence yoyote basi nawe au nanyi njia ni hio hio.

Leo hii huko nchi Sudan walioua kwa Mapinduzi wanaendelea kupigana.

Tanzania watu wazuri hawafi wanakufa wabaya tu.

Mungu habagui sasa yeye ndiye anaupiga mwingi chawa wameenda likizo.

Wadiz
 
Ccm mnafurahisha sana, mwenzenu amefariki mnashangilia badala ya kuugua

Membe ni mwenzenu, mwanachama wenu, mtumishi wa serikali yenu sijui mnashangilia nini

Hii nchi ina tabu nyingi sana
 
Mungu wa mbinguni ni wa wote tumisifu na kumtukuza tupendane sisi sote wapitaji ndivyo kauli za utu na ucha Mungu.

Kwa wale wasioamini waendelee na Imani zao ukiombea baya kwa pretence yoyote basi nawe au nanyi njia ni hio hio.

Leo hii huko nchi Sudan walioua kwa Mapinduzi wanaendelea kupigana.

Tanzania watu wazuri hawafi wanakufa wabaya tu.

Mungu habagui sasa yeye ndiye anaupiga mwingi chawa wameenda likizo.

Wadiz
🚮🚮🚮
 
Ccm mnafurahiha sana, mwenzenu amefariki mnashangilia badala ya kuugua

Membe ni mwenzenu, mwanachama wenu, mtumishi wa serikali yenu sijui mnashangilia nini

Hii nchi ina tabu nyingi sana
Wewe ambae sio ccm inakuhusu nini hao wakishangilia?
 
Kifo cha kada wa CCM kimewaibua tena sukuma gang, walikua wamepooza sana sana
 
Back
Top Bottom