uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Uswekeni nani anataka kwenda kuishi kwenye vumbi jangwani,[emoji16]
Ronaldo alikataliwa Ulaya akaona bora akavune mapesa tu
Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa mwaka kwenda alanasa kuungana na mchezaji chrstiano ronaldo
Wenzetu wazungu wana standard zao huwezi kutoka ulaya ukaishi jangwani,joto kali hakuna uoto kwa wasio jua uarabuni mazingira yake ni mabovu kuliko kondoa na bahi kule dodoma hakuna mvua
Waarabu wanamwaga mapesa ila wazungu wanawachukulia km limbukeni tu
Haya sasa ndio hivyo sergio busquets kawaambia sitaki na siji
Nawashauri waarabu walevi mapesa yao ulaya kwasababu hakuna mchezaji wa maana ataenda kuishi uswekeni