Tulisema hakuna mchezaji wa maana ataenda uarabuni haya sasa sergio busquets wa barcelona amekataa ofa ya bilion 100 kwa mwaka kumfuata Ronaldo

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Uswekeni nani anataka kwenda kuishi kwenye vumbi jangwani,[emoji16]

Ronaldo alikataliwa Ulaya akaona bora akavune mapesa tu

Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa mwaka kwenda alanasa kuungana na mchezaji chrstiano ronaldo

Wenzetu wazungu wana standard zao huwezi kutoka ulaya ukaishi jangwani,joto kali hakuna uoto kwa wasio jua uarabuni mazingira yake ni mabovu kuliko kondoa na bahi kule dodoma hakuna mvua

Waarabu wanamwaga mapesa ila wazungu wanawachukulia km limbukeni tu

Haya sasa ndio hivyo sergio busquets kawaambia sitaki na siji

Nawashauri waarabu walevi mapesa yao ulaya kwasababu hakuna mchezaji wa maana ataenda kuishi uswekeni
 
Ronaldo alikataliwa ulaya akaona bora akavune mapesa tu

Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa mwaka kwenda alanasa kuungana na mchezaji chrstiano ronaldo

Wenzetu wazungu wana standard zao huwezi kutoka ulaya ukaishi jangwani,joto kali hakuna uoto kwa wasio jua uarabuni mazingira yake ni mabovu kuliko kondoa na bahi kule dodoma hakuna mvua

Waarabu wanamwaga mapesa ila wazungu wanawachukulia km limbukeni tu

Haya sasa ndio hivyo sergio busquets kawaambia sitaki na siji

Nawashauri waarabu walevi mapesa yao ulaya kwasababu hakuna mchezaji wa maana ataenda kuishi uswekeni
Aje ajiunge na Yanga
 
Uswekeni nani anataka kwenda kuishi kwenye vumbi jangwani,[emoji16]

Ronaldo alikataliwa Ulaya akaona bora akavune mapesa tu

Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa mwaka kwenda alanasa kuungana na mchezaji chrstiano ronaldo

Wenzetu wazungu wana standard zao huwezi kutoka ulaya ukaishi jangwani,joto kali hakuna uoto kwa wasio jua uarabuni mazingira yake ni mabovu kuliko kondoa na bahi kule dodoma hakuna mvua

Waarabu wanamwaga mapesa ila wazungu wanawachukulia km limbukeni tu

Haya sasa ndio hivyo sergio busquets kawaambia sitaki na siji

Nawashauri waarabu walevi mapesa yao ulaya kwasababu hakuna mchezaji wa maana ataenda kuishi uswekeni
Umeandika kirahisi utadhani na weye una mahela.Acha ujinga.
 
Usijali shida yako tunaifanyia kazi atenda muda si mrefu nilikuwa sijui kama amekataa ila muda si.mrefu ataenda tunaomba uwe mvumulivu wakati uongozi tunalitatua hili
 
Aende wapi?

Ronaldo yupo mbioni kisilimishwa na kuongezewa mke kama manara
 
Hilo linakusadia vipi wewe kuacha kushinda kwenye vijiwe vya kahawa ?
 
Back
Top Bottom