Ngoja waje vijana ndiyo maana ofisi za posta kuna vijana wengi wanaenda na bahasha kutakla kuandikishwa JWTZ.Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.
Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.
Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa kwenda jeshini.
Na mwisho wa siku mnawaacha huku mtaani wakiwa na hasira.
Narudia tena,JKT ni kwaajiri ya kuwajenga vijana kuwa wakakamavu. Lengo ni kuwafanya wawe focused,waondokane na mawenge mbali mbali kama tamaa za maisha ya gharama,uvivu,uzembe,ushamba, na kuwapa tabia mpya kama uchakarikaji,uchangamfu,kutokata tamaa,ari ya kazi na bidii,kujitolea, kusaidia, umoja,na kadhalika.ukakamavu usio na ajira embu nenda wewe ukapate ajira JKT
Huu ni uongo wa kiwango cha lami uko jkt ni wanaenda kupigwa mashine na maafande walafi na kulimishwa mashamba ya ma afande.....Narudia tena,JKT ni kwaajiri ya kuwajenga vijana kuwa wakakamavu. Lengo ni kuwafanya wawe focused,waondokane na mawenge mbali mbali kama tamaa za maisha ya gharama,uvivu,uzembe,ushamba, na kuwapa tabia mpya kama uchakarikaji,uchangamfu,kutokata tamaa,ari ya kazi na bidii,kujitolea, kusaidia, umoja,na kadhalika.
Wewe kama unaona hizi sifa ni kwaajiri ya kutafutia ajira then unatakiwa kurejea tena malengo ya JKT.
Nenda JKTKuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.
Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.
Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa kwenda jeshini.
Na mwisho wa siku mnawaacha huku mtaani wakiwa na hasira.