Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

Halafu leo Simba anashinda tena! Andaa thread kabisa. Mateso yako ni ya kujitakia!
 
Ila mbumbumbu ni wengi sana huko nyuma mwiko.Hili nyumbu moja limeanza malalamiko dhidi ya Karia utaona manyumbu wengine wanavyofuata mkumbo.
Club pekee hata ikifanya vibaya huwa inajitathmini yenyewe wachezaji na viongozi ni Simba.Huwezi kukuta Simba inalalamikia TFF,CAF au FIFA .Ni club moja tu ya manyumbu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, Kolo wanabebwa kabisa. Simba hawana mpira wanaojua kucheza, wanasubiri kuunganika

Karia anawabeba mchana kweupe....
Malalamiko FC Mshaanza Malalamiko Mapema tu kulikoni? Vumilieni tu ndio Kwanza Mechi ya 3 hii na Bado Nyuma MWIKO Nyie
 
Karia hajawahi kulisaidia soka letu, daily hujificha kwenye kichaka cha mafanikio ya simba & yanga kimataifa yalotokana na juhudi binafsi za vilabu.

Kama angelikua kalisadia soka letu vilabu vingine pia vingekua vinafanya vzr vinaposhiriki michuano ya kimataifa.
 
Yani Yanga kachukua ubingwa karibu mara 3 wala Karia alikuwa hazungumzwi kwa Ubaya this time Simba anaonekana anaanza kujikongoja tena wala ubigwa hana Karia ameshaanza kuonekana mbaya.
Wewe unajistukia, kuhusu Ubingwa Simba wasahau kwa Sasa.
Marefa wanaharibu mechi mfano Heri Sasi na Tatu Malogo kuendelea kupewa mechi za Ligi kuu kuchezesha ni ku ukosea umma unao penda mpira adabu na Kiburi Cha viongozi wa Tff,bodi ya Ligi na Chama Cha waamuzi.
Marefa ambao wamekua waki haribu mechi Tena mechi kubwa mfululizo na kuendelea kuchezesha, inatia shaka Kuna jambo chafu nyuma ya pazia.
 
Mkuuu mimi nakuunga mkonoo mkuuu
However nina hojaa makini sanaa

Hata Azam washinde Ligi kuuu unazani kuna chochoto watalifanyia hili taifaa mkuuu.

Wanaotakiwa kushinda kwenye Ligi kuuu na Simba na Yanga tuuu wengine hata wakifanyiwa hujuma hakuna shidaaa.

Cheki juzi AZAM walivyolihujuku Taifa letu kwa time ndogoo

Mimi ningekuwa raisi wa nchi ningeweka sheria kali sana

Time inayoshinda ligi kuu ni time kwelii.

Soo hawa lambalambaaa ,watembeza lambalambaa.

Azam huwa wana shida gania
 
Jamananihamjui karia anatekeleza makubaliano na kolo juu ya kumuachia lameck lawi ambapo Kama kolo angeamua kumng'ang'ania lameck lawi kama alivyofanya kwa awesu angemchukua
Jamani hamjui karia analipa fadhira kwa makolo kwa kumuachia lameck lawi ambapo makolo wangemng'ang'ani kama walivyofanya kwa awesu wangempata na kucheza kwao.
 
Msitegemee hoja ya maana kwa mtu ambaye hata kuandika ni shida
 

YANGA MWENZANGU UMEPUYANGA SANA. UNAFANYA WOTE TUONEKANE HATUNA AKILI.
 
he should go
 
Hata uingereza ukimsema vibaya mwamuzi lazima faini nzito ikukute!
 
Maliza kwanza wenge la pombe na Azam kupigwa utopolo wewe kisha uje kuhariri andiko lako.
 
Mtoa Uzi ni uto pia ni Mrundi eti WAHAMUZI badala ya WAAMUZI daah Nchi Ngumu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…