Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media.

In short, kocha wa Azam fc atapigwa fine, kisa kasema WAHAMUZI awako sawa , magoli yote ni offside.

Karia and board good side: hii ni muhimu kulinda brand ya league, good law

Bad side: InaLinda kupanga matokeo,

Inshort, watapanga matokeo amna cha kuwafanya, marefa watakula rushwa Na tff watatoa maelekezo, amna cha kuwa fanya. No media is allowed to criticise tff or board ya ligi.

-lastly, viongozi wanajirinda kusemwa live on media
  • wakijua wanapanga matokeo na kushusha brand ya league.Kwa makusudi.
  • with no media reporting. nothing will change.
Why are referees not banned?

Leo hii hata refa hata apange vipi matokeo, afukuzwi wala kushusha dalaja? No consequences. instead anapewa kuwa refa bora.

VIONGOZI SHOULD CHANGE, ACT BETTER, SIO KUSEMANA ONLINE HIVI. TFF NI WEZI TU WAMEJAA PALE NDANI.

I KNOW MNAWEZA CHUKUA HATUA KALI KWA MAREFA, SEMA MPO KULA PESA ZA WAMILIKI WA TIMU.

SIO HATER CONCERN SPORT PERSONNEL

KARIA MUST GO OR CHANGE.

View attachment 3109895
Huyu mzee akiondoka pale TFF Kuna timu zitastruggle Sana kupata matokeo halali. Msimu huu wamedhamiria Azam fc wasishike nafasi ya pili kwa ajili ya kuwezesha timu Fulani zishiriki CAF CL.
 
Huyu mzee akiondoka pale TFF Kuna timu zitastruggle Sana kupata matokeo halali. Msimu huu wamedhamiria Azam fc wasishike nafasi ya pili kwa ajili ya kuwezesha timu Fulani zishiriki CAF CL.
Ndo anasababisha Azam adro? Kweli hiyo timu wenye akili ni wawili tu.
 
Yani Yanga kachukua ubingwa karibu mara 3 wala Karia alikuwa hazungumzwi kwa Ubaya this time Simba anaonekana anaanza kujikongoja tena wala ubigwa hana Karia ameshaanza kuonekana mbaya.
Alikuwa anazungumzwa Sana tuu. Msimu uliopita mechi tough zote alizocheza Simba ilikuwa lazima apate goli la penalty ya magumashi Tena dk 86 kuendelea, aidha Mechi tough lazima timu pinzani ipate red card dk za mapema Ili istruggle au Free kicks nyingi nje ya 18. Karia tangu mwanzo wa uongozi wake aliinyesha wazi yupo upande gani alafu anajifanya mwanachama wa coastal Union[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anabadilisha katiba agombee tena awamu ya 3
Hawezi thubutu kufanya hivyo. Akijaribu yatamkuta ya Malinzi na ndiyo itakuwa mwisho wake kwenye masuala ya mpira. Kwa jeuri aliyonayo Kuna ma God fadher... Ngoja niishie hapo[emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi thubutu kufanya hivyo. Akijaribu yatamkuta ya Malinzi na ndiyo itakuwa mwisho wake kwenye masuala ya mpira. Kwa jeuri aliyonayo Kuna ma God fadher... Ngoja niishie hapo[emoji1787][emoji1787]
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom