Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Mimi kinachoniuma ni kuwa waathirika wengi ni ndugu zangu ( Wairaqw) nimejitahidi sana namshukuru nilishawatoa kama watatu huko
 
Watu wana pesa za kutapeliwa. Mtu haoni shida kutoa milioni 5 atapeliwe lakini mwambie atoe hiyo hela kwa kitu cha maana. Atakuambia hana.
Mimi hata laki moja sitoi, bora nikailie bata tu kuliko kuwekeza kwenye huu ujinga
 
Huku Zanzibar wanayo ofisi yao Mombasa, huwa nawatizama tu wakiingia na izo good morning zao, kupigiana makofi kukata keki.

Ila ilikuwepo moja nimesahau jina, hio ilikuwa unawekeza pesa, kila baada ya muda unaenda unapewa mgao wako, badala ya mfanyaji kuwaliza wateja wake Serikali ndio ikasababisha kilio πŸ˜€
 
Rafiki angu aliambiwa Maldives,
Nyie full vichekesho.n

Rafiki angu aliambiwa ataenda Maldives, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie full vichekesho.
Hiyo nauli ya kwenda Fiji au visiwa vingine vya Pacific si mchezo . Kwenda huko uwe na hela ya kutosha. Mtu unatumia zaidi ya masaa 25 kwenda tu, halafu kijinga tu unaambiwa ununue holiday package za huko
 
Yes bro sikuona kama kuna cha maana, pesa nayoweka na kupata ni ile ile mbayaa zaidi unajikuta we kwenye mzunguko uko mbali wa 21 hukoo[emoji23][emoji23]
Katika maisha yangu sijawahi cheza mchezo. Si bora nidundulize nijiwekee akiba mwenyewe kuliko kuweka hela zangu kwa watu ambao sijui hata uaminifu wao. Kuna vikundi vingine vingi vya wanawake ambavyo havina tija, kazi kupoteza muda na hela
 
Usiombee mwanamke wako au ndugu yako atekwe na hao mashetani na wewe unajaribu kumuokoa ila anaona unamkosesha mamilion hasiraa zakee acha tuuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hapa ndo zile kesi mtu anabeba mjegejee

Kuna mdogo wang yupo IFM yani nilimuona mjinga kwel kuanza kuniambia kuhusu mambo ya Q NET nilimpa kofi hawez kusahau. Nilimuambia kama umechoka kusoma kaa nyumbani utakula na kulala tu.
 
Kuna mdogo wang yupo IFM yani nilimuona mjinga kwel kuanza kuniambia kuhusu mambo ya Q NET nilimpa kofi hawez kusahau. Nilimuambia kama umechoka kusoma kaa nyumbani utakula na kulala tu.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€INAUMA sana mkuu wale vijanaa hawaamini bado kama wametapeliwaaa hadi leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…