Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Folever living ndio nn? Sasa mpaka leo matumizi ya R na L hujui ndio ushindwe kupigwa!!! Fanya kazi
Kweni hiyo ni sababu ya mtu mTanzania kutokuelewa maana ya kinacho semwa? Ni ushamba tu kumkosoa mtu Kwa sababu nyepesi, ushamba.. upuuzi.. ujinga... Ubishoo wa kipumbavu
 
Mbn hi hbr Ni wiki mbili imeshatoka sas. iliripotiwa na itv na jackline dilemwa ktk kipindi chake kile Cha usku hata mkuu waa wilay bwna kher James alikuepo ilikuwa Ni kichekesho Sana. Walivyokuwa wnaojiwa wale vijana
Wale jamaa ukiwasikiliza vizuri utaona wako mind manipulated..yaaani wanaona wapo mahali salama na huwambii kitu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ila vijana wa dar ni next level hakuna hata mmoja wote wametoka mikoani huko .
Dsm watu wamejanjaruka..huwezi madanganya mtu kizembe..undezi umeabaki kwenye dini.

Ila wa mkoani kote ni mandezi..daah..wamekusanya vijana wengi sana toka mkoa..wamewaharibu akili madogo wanaona qnet ndio mafanikio yao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wale jamaa ukiwasikiliza vizuri utaona wako mind manipulated..yaaani wanaona wapo mahali salama na huwambii kitu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Q-net huwa wanaipiga Kwanza medulla oblongata ina-seaze..!! Alaf wanakupakua mzima mzima , na usipokaa vizur wanaukomba ukoo mzima , hasa kama ukoo unakuaminia kuwa we ndo mjanja wao
 
Q-Net wamevunja ndoa nyingi Sana za vijana wa DSM , pitia tu nyuzi za 2017 za QNet kipindi ilipoanza Ku-kickoff, ndo wakajanjaruka , now wamehamia mikoani huko
 
Q-Net wamevunja ndoa nyingi Sana za vijana wa DSM , pitia tu nyuzi za 2017 za QNet kipindi ilipoanza Ku-kickoff, ndo wakajanjaruka , now wamehamia mikoani huko
yani wanawapiga watu hela balaa na sijui why serikali haingilii kati kwa nguvu suala hili
 
Hao wajanja wa Dar ndo wale wanaokimbizwa na kulawitiwa na vitoto vya panya road!!!??? Au kuna wengine?
 
Niliwahi kualikwa na mkufunzi wa chuo kikuu cha DSM akiwa kama rafiki yangu, maeneo ya sinza,nikahudhuria kikao chao na kuonyeshwa gazeti linaloonyeshwa ufunguzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanywa na viongozi waandamizi serikalini kama picha za wadau zinavyoonesha huko juu, nikawasiliiza,nikaona ni wizi mtu mtupu! Kiingilio 4million kwa kununua bidhaa isiyokuwa na uhakika kama utapata na ulete wateja wengine,nikasema ni utapeli huu japo nilikuwa na mtu msomi.pia nilipo karibu kumpigia cm boss serikalini,aliyeko hapo juu gazetini kwa kuwa tunafahamiana, akasema vijana wake hawamo,so haina tija,niachane nayo,nikajiridhisha ni wahuni kama wahuni tu maana hata serikali waliingizwa mkenge tu japo ushauri waliopewa wakufungua viwanda hapa nchini hawakufanya hivyo hadi sasa.
Ni vema kama serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yao.
 
...Kinachoshangaza zaidi ni Serikali Kuwachukulia Hatua Vijana Waliotapeliwa...lakini QNET waotapeli inaacha hivi hivi Wakiendelea Kutapele!
Ni Kichekesho ..ama QNET Ina Mkono wa Mkubwa???
 
Hebu naomba nisimulieni vizuri wanafanya nini siku hizi hao QNet?

Maana nilishawahi kuwaonya watu toka miaka kumi na tano iliyopita enzi hizo QNet wanauza viglass fulani wanaita biodisc.

Naomba mkanda kamili wa hizo ajira za QNet ndo zikoje?
...Na hao QNET matapeli wenyewe wanarudishwa lini Makwao, au Kuna Mkono wa Mkubwa mmoja Unawalinda waendelee kutapeli???
 
Mimi alinifata rafiki angu mmoja alipogundua mkataba wangu kazini unaisha alinishawish nkafika ofisini kwao cha kwanza kunitisha ni kusalimiana kwa pamoja ofisi nzima good morning while ni sa 11 jioni nkajisemea au ni free Mason.. wanazungumzia magari ,majumba wamama watu wazima walioacha kazi na vijana waliojiunga Q net nikiwangalia bilioneazi soli za viatu zimekwisha upande wanavaa mitumba na pochi za mitumba lkn wanauza say za mil 3 ,nkaona huu upuuzi nkablock no zao ote nkapunguza urafiki ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachuo wanapigwa sana na idea debator, na hawakomi afu wana mtindo wa kushawishiana. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaaah sanaaaaa.
 
Kuna demu aliachaga Chuo, akakimbia huko dar kwenye hizo ishu.
Walikuwa wanakaa hosteli, mbezi.

Alikuwa ananitambia eti muda si mrefu ananunua gari.
Nikajua huyu tayari washamjaza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna binti aliacha kazi serikalini akaenda huko, akanishawishi sana nikagoma,, akaanza kunirushia vijembe status,, nikaamua kufuta namba zake,, kanicheki juzi kati nimkopeshe pesa,, na bla bla kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…