A
Anonymous
Guest
Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu.
Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION, yaani Mwl IIIC Shule ya Msingi
Serikali itukumbuke jamani.
Wanaajiriwa Watu waliosoma BACHELOR na DIPLOMA OF EDUCATION IN ARTS IN SECONDARY SCHOOL.
Wanapelekwa kufundisha Shule za Msingi ila sisi ambao tumesoma kufundisha msingi hata interview hatuitwi, kwa nini TCU ilituchagua sisi kusomea hiyo course? Tupo tu mtaani tunahaha kusaka ajira.