Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Hako kajamaa na kipara chake kamekaa kimtego mtego sana.......tamaa ya pesa na madaraka mbaya sana.
 
nilitizama ile gesture ya kukuna kidevu ya Januari wakati meneja anajieleza nikajua kimeumana kwa majizi.
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Source ya haya maneno PLEASE
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
  • Mtera Hydropower Plant has an installed capacity of 80MW. The power generation started in 22nd May 1988 for unit 1 and 7th December 1988 for unit 2 respectively.
 
Wanajukwaa tupongezaneni tuliopinga hujuma hii ya kutaka kuuziwa umeme wa mafuta na mgao unnecessary
Usichokijua ni kwamba kwa dalili hizi za ukame zilivyoanza mwakani by August au September tutaelewana vizuri nyie endeleeni na ngonjera zenu tuu...
 
Watu ni wavivu wa kutafuta taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi lakini ni wepesi wa kurukia na kuziamini taarifa zilizoandikwa na anonymous member hata kama hana reputation yoyote ile!!!
Mkuu Chige , kwanza sii kweli kuwa hauna reputation yoyote, ukweli ni kuwa, kwanza sisi wana jf wote we are all equal, na kila mwana jf, ana his/her own reputation kwenye maeneo ya interest zake au ubobezi na ubobevu wake. Unaweza wewe mwenyewe usijijue how reputable you are, but kuna watu wanakuheshimu sana, na unawasaidia sana kuwaelimisha kwenye mengi, mimi nikiwemo, na sii mara moja wala mbili, nimetumia ama post zako, ama mabandiko yako kama shamba darasa la kuchukua mbegu na mimi kuotesha bandiko langu.
Duh...!. Mimi naandika na kuchangia humu jf, katika mawanda makuu matatu.
  1. Mimi ni mwandishi, hivyo kuna post huwa nazipandisha humu jf as a professional journalist, kazi yangu ni kuripoti tuu kile kilichotokea. Siruhusiwi kuweka opinion yangu kwenye news reporting.
  2. Mimi kama mtu wa kawaida as anybody else, nachangia mabandiko yoyote kwa kusema chochote with or without any proof.
  3. Mimi nachangia jf as a professional writer, ni mwandishi wa makala mbalimbali za TV, redio na magazeti, nina collum zangu kwenye baadhi ya magazeti, sasa kwenye uandishi wa makala, naruhusiwa to express my opinion kuhusu jambo lolote hivyo niko free kuandika chochote with or without ushahidi wowote, na vinaaminika sio kwasababu ya reputation bali kwa sababu they make sense.
Kwa bahati mbaya sana, wengine mnatumika tu bila kujijua!!!
Naunga mkono hoja hii, hiki kinachoendelea sasa kumhusu January, ni kama kile kilichomtokea Edward Lowassa, anaonekana ni dear boy, anaweza kumpokea Mama, 2030, hivyo wahafidhina wanahangaika kuhakikisha wanamzamisha!.

January Makamba ni mti wenye matunda.

P
 
Na huu ndio ukweli wenyewe,kama hataki akae kimya ,asikusumbue,na ukweli huu umekuweka huru
Nimemaliza, magazeti yake yuko free kuendelea nayo, kama umejaa matuhuma machafu lazima kwanza utoke ujisafishe ndio mambo mengine yaendelee, sio kukaa kimya halafu unakuja na utetezi wa "chuki binafsi" kwa anayehoji, what a crap!

They are talking about $30bil watazipata wapi? watazirudishaje? they dont care, wao wanachojali pesa zije, wapige, zitakazobaki wapeleke kwenye mradi habari ya kulipa haiwahusu.

Mikataba yenyewe wamezoea kuifanya siri, no way; kelele zipigwe tu.

You can't shut me up that easy.
 
Ninachofurahia ni kwamba zama za hoja na data zimerudi sio brah brah,hongera mkuu hoja na data zimeshiba.
 
Umevuliwa nguo,chutama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…