Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlianza na kihansi ,kilichotamkwa ni upungufu wa maji kwenye mabawa ya kuzalisha umemeUlipoisoma ile taarifa ya TANESCO umeona Mtera imetajwa?!
Mlianza na kihansi ,kilichotamkwa ni upungufu wa maji kwenye mabawa ya kuzalisha umeme
Miaka 59 wameshika wanaume nchi mbona ipo ipo. Mpaka leo tunatembeza bakuli.Pamoja na mchongo huyu mama japo ana madaraka makubwa ila zile weaknesses za kike zinadhihirika kwake kwamba hii jinsia bila kushauriwa na mwanaume haiwezi kufanya jambo lolote kubwa ikiwa peke yake.
Sometimes akili yake inamwambia kabisa kwamba mgosi hafai ila hana uhakika kama anachowaza ni sahihi mpaka aombe ushauri kutoka kwa wanaume kwanza(japo kikawaida sana inadhihirika ni sahihi mgosi anacheza deal zake pale wizarani) so inabidi aitishe ushauri kutoka kwa wanaume ambao baadhi ni chawa wa Makamba nao wanamjaza kwamba Makamba anafanya vizuri.
Tungekuwa na kiongozi makini mwanaume saizi tungekuwa tunazungumza mengine hapa.
Wewe ni mchawi loga basi mvua inyeshe“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”
- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Unadhani hao ndio chanzo cha matatizo? nauliza hivyo kwa sababu kuna waliona Magufuli ndio chanzo cha matatizo yote wakatamani afe, ila sasa bado wanaendelea kulalama matatizo yanaendelea.Mungu mchukue makamba na zitto na washenzi wengibe wote wenye nia mbaya na nchi hii.
Sidhani kama ana ubavu wa kumfanya kitu.Hivi kwanini Samia anamlea huyu Makamba ?
Kama hakuna maji kuna haja gani ya kwenda kuyapiga doria? Sijawahi sikia hii kitu. Huwezi kuyapima kwa machoKwa hiyo maji yapo ya kutosha?
Huyo ni mwanasiasa achana na Siasa kwanza. Aende na mtumbwi au helicopter hiyo achana nayo kwanza.Kama hakuna maji kuna haja gani ya kwenda kuyapiga doria? Sijawahi sikia hii kitu. Huwezi kuyapima kwa macho
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Watanzania kuna majuha mengi sana mkuu. Ameleta taharuki isiyo na sababu. Wakichukuliwa hatua hulalamika.
Mkuu sisi mara nyingi upuuzi hatupendi kama ambavyo Hayati Magufuli hakuupenda
Hizi taarifa zinatakiwa kutoka kwa mameneja wa mabwawa ya umeme na sio kutoka kwa mtu mwingine yeyote, na zaidi ikitoka kwa bodi ya Tanesco iliyowekwa na Makamba ndio haiaminiki kabisa.Ndo maana Wabongo ni rahisi sana kudanganywa, kwa sababu HAMSOMI...
Ukisoma taarifa ya TANESCO kuhusu kupungua vina vya maji kwenye mabwawa, hilo Bwawa la Mtera halijatajwa...
Hata wakati Maharage anataja mabwawa yaliyopungua maji, Mtera hakuitaja!!
Matokeo yake, leo hii mnaona kama taarifa ya Meneja wa Bwawa la Mtera ni mpya...
Kwani Shirika halina Msemaji!? Had I meneja?Meneja wa hilo bwawa apandishwe cheo na alindwe, tunahitaji wazalendo nchi hii , Rais Samia alione hili