Tulitangaziwa kufutwa kwa tozo ila nimekatwa tozo

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Wadau juzi juzi hapa tunetangaziwa rais kafuta tozo.

Cha ajabu bado kuna kodi ya serikali kwenye miamala. Ninetoka kutoa Airtel money nimekatwa tozo.
 
Walivheza na mind za watu na maneno ya kisiasa ya NAPE walifuta tozo za kutuma pesa siyo kutoa pesa bro.

Kuna kachangamoto apo very stup.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu raisi wako mzanzibar ni mjanja mjanja na dhaifu sana, hajali maisha ya watu, na vile anajua wengi wanaoumia ni wabara basi hata aimuumizi kihivyo.
Dawa hata limuungano life tu, kila mtu aende kwao na zaidi ela nyingi ya tozo inaenda kwao.
Hawaitaji hata kufanya kazi ili wahishi kwan wabara tupo tunaumia on their behalf, u can c wanaovyojiongezea siku za mapumziko kwan wanajua we are there to fill the gap.
 
Walivheza na mind za watu na maneno ya kisiasa ya NAPE walifuta tozo za kutuma pesa siyo kutoa pesa bro.

Kuna kachangamoto apo very stup.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Hakuna changamoto hapo, inashindikana vipi kuitoa wakati waliiweka?? Huo ni uhuni mtupu kutuumiza.
Miss dhaifu ndio anatuvurugia Tanganyika
 
Kwa ushaur wangu ili heshima iwepo TTCL ndo ingebaki kuwa kampuni ya mawasiliano tu bas kwenye kutuma pesa na kutoa nayo inge baki ttcl only.
-
Alaf hzo kampuni nyingine zngebaki kuuza ma bando yaan wananunua kwenye mkondo wa serikal wa ttcl wanawauzia watumiaji ko mtumiaji anachagua kwenye lain yake leo aunge kifurush kwa tigo or voda lakin lain mama inakuwa moja tu ttcl.

Back
Top Bottom