Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa.

Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote.

Walinipa VCD na DVD matukio yote ya Matukio yote yote mapinduzi Zanzibar, Tukio la kifo Cha Tamimu, Uvunaji wa Tembo na wanyama wengine, Na Biashara ya Mapank ya Samaki ya Warusi na Biashara haramu ya silaha za kivita kwenda DRC nyakati za vita, Ndege za Warusi kutembea chini Kwa chini kimo kifupi juu ya paa za Nyumba kukwepa Radar. Ushiriki wa Tanzania na viongozi wake nyakati zile katika kufanikisha mambo ya kusafirisha slaha na kuwaachia Warusi wafanye watakavyo.

Naomba tujikumbushe. Binafsi kisa Cha Mapank najua kilitokea kweli na documentary niliangalia yote na anytime nikitaka kuangalia naangalia , na pia historia ya mapinduzi Zanzibar nikitaka kuangalia yaliotokea walichofanya akina General Okello na idadi ya wendazake jamaa zangu wapo tayari kushare.

Ni Siri msikurupuke possess at ur own risk, Adios Africa na Uhai kuwa nayo Kwa vionjo ingia YouTube au google upate vionjo.

Tunawaangalia tu sasa hadi vifo vya ma Hayati jamaa wanazo full facts, Umafia unalipq usitegemee Mungu tu.

Adui yako maliza mapema chatu ndio ashakua chatu anameza tu.
 
Hahahaaa hii nchi uhuru umezidi mnooo
 
Hujui chochote kuhusu mapank
Rudi kwanza kachimbe vizuri na ikiwezekana njoo Mwanza ufanye research mwenyewe, na katika hilo la mapank ndio niliona wazungu ni wanafki kushinda hata waswahili
 
Hujui chochote kuhusu mapank
Rudi kwanza kachimbe vizuri na ikiwezekana njoo Mwanza ufanye research mwenyewe, na katika hilo la mapank ndio niliona wazungu ni wanafki kushinda hata waswahili
Kataa uwezavyo ukweli ni ukweli na Mapank ni Mapank kama hujui Kaa kmya.
 
Back
Top Bottom