Tulijetenga na Mwamba, na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile kilichokusudiwa (utalii) hadi tukasimamisha Bunge ili tujisifie ni kipi tumefanya....
Fast forward sasa hivi tumejitia doa wenyewe na tumeshagundua hilo - Je tupo tayari kutumia gharama ndogo tu ya kuwajibika ili wananchi wajitenge na SISI (kwamba makosa ni yetu wachache na sio Tanzania nzima...) au tupo radhi nchi kuangamia ili mradi tupo madarakani ?
Wakati unatafakari hayo burudika na huu wimbo......
View: https://youtu.be/asDLszKL7-w?si=mmY2J5zxqnIqDqkm